Noah Henry: Hadithi ya Upinde wa Mvua (Rainbows, Masks, and Ice Cream) (Swahili Edition)

Noah Henry: Hadithi ya Upinde wa Mvua (Rainbows, Masks, and Ice Cream) (Swahili Edition) image
ISBN-10:

1636070221

ISBN-13:

9781636070223

Edition: Swahili ed.
Released: Oct 15, 2020
Publisher: Calec
Format: Paperback, 30 pages
to view more data

Description:

Kama siku yoyote nyingine, Noah Henry anajitayarisha kwenda shuleni-lakini, wazazi wake wanamwambia kwamba shule yake imefungwa. Zaidi ya hilo, bustani ya wanyama pia imefungwa na hataweza kucheza na rafiki zake wanaoishi mle. Mambo hayabadiliki hata wakati Noah na kaka yake mdogo wananawisha mikono yao kama walivyoambiwa na walimu wao. Lakini, wakati Noah na familia yake wanapoondoka kwenda matembezini, anagundua ya kwamba rafiki zake walikuwa wamechora pinde za mvua na kuziweka kwenye madirisha yao, na anatambua ya kwamba rafiki zake pia hawana hakika kuhusu siku zijazo, na ya kwamba siku moja yeye na rafiki zake watacheza pamoja tena.












We're an Amazon Associate. We earn from qualifying purchases at Amazon and all stores listed here.